SABABU ZA KUWA NA UCHOVU WA MWILI KUPITA KIASI PAMOJA NA TIBA YAKE

SABABU ZA KUWA NA UCHOVU WA MWILI KUPITA KIASI PAMOJA NA TIBA YAKE

#1

➡️ UCHOVU WA MWILI

Uchovu wa mara kwa mara na kuchoka, huweza kusababishwa na zaidi ya usingizi.


Kutopata usingizi wa kutosha ni moja ya sababu inayoweza changia uchovu, ila uchovu wa mara kwa mara na kujiona umetumika  ilhali umepata usingizi wa kutosha inakera. , hii imekuwa ni hali ya kawaida kwa wengi wetu , ila sio hali ya kawaida, na kwsababu kadhaa au pengine za kihisia.


Matibabu


 Kupuuzia maumivu au dalili za maradhi  ni kitu kibaya, kwani yaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa, upungufu wa damu au tezi, yaweza kuwa tatizo la kawaida , ila uchovu ni moja ya dalili ya baadhi ya magojwa mengine, kama kisukari. kama umekuwa ukijsikia uchovu kwa zaidi ya wiki mbili, nenda kamuone daktari kwa ajili ya chekap,kama hamna la zaidi tuliza mwili na akili yako


Mpangilio wa chakula


Chakula ni mafuta ya miili yetu kwa hiyo kama hatupati chakula cha kutosha, nguvu ya miili yetu hupungua, ila inaweza sababishwa na kitu chocote,  yaweza kuwa diet ya kupitiliza, au kula vyakula ambavyo havitukubali., ila umeshindwa kuvishtukia, kama unataka kupunguza uzito, hakiksha unafanya hivyo kwa taratibu, kiafya , weak kumbukumbu ya chakula unavyokula ambayo utamuonesha daktari wako, hii yaweza saidia kutambua kama kuna vyakula vinavyo kudhuru.


Uzito wako


Kama una uzito mkubwa, hii yaweza changia uchovu wa  mara kwa mara, kwa sababu mwili wako, utahitaji kutumia nguvu ya ziada, kuuhimili.hupelekea uzito wa ziada kwenye viungo vyako, moyo na mapafu, na kuwa na uzito mkubwa napo huumanisha misuli yako inakazi ya ziada


Mashaka na msongo wa mawazo


Usingizi unachangiwa kwa kiasi kikubwa na afya ya aklii, mashaka, na mishipa ya fahamu yaweza changia kukosa usingizi insomnia, kitu ambacho baada ya muda, yaweza kuwa sugu na kukuwacha mwenye kudhoofika. kama una msongo wa mawazo kujikuta ni mwenye kulala kila waakati,  napo ukaendelea kuwa  mwenye uchovu  mwenye kuw a hali hii ikijitokeza kwa muda mrefu basi ni busara kuomba msaada

.

#afyasolution #afyaclass


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




REPLY HAPA


image quote pre code