VIFAA KWA AJILI YA MAMA KUJIFUNGULIA
Wamama Wengi hasa Mimba Za Kwanza hili ni Swali Huniuliza mara kwa Mara.kwamba Waandae Vitu Gani?
Orodha ya VITU MUHIMU HIVI HAPA
1.Andaa kanga za zaman(zinakuwa sio Kavu,zinakuwa na joto ukimviringishia mtoto) AU RECEIVING BLANKET. you can mix uwe na kanga chakavu hata doti 3 na Receiving blanket hata 2.....hizi zinafaa mwanzon hata ukimvalisha mtoto kinguo unaadd na hivyo for Joto(WATOTO WANAHITAJI SANA JOTO)
2.Vitenge/kanga za kuvaa wewe mwenyewe
3.martenity pad zako maana waweza bleed sana pedi ya kawaida ikawa haisaidii
4.pampus za mtoto kidogo za kwenda nazo unaweza jikuta mkapata shida ukakaa hospital siku 2 au 3
5.nguo za mtoto hata Pea tatu tia kwa Beg,na socks na kofia na vile visoks vya mikonon
6.Pamba kubwa Moja( Cotton wool)
7.nyembe,nyuzi,bomba la sindano,dawa ya kuongeza uchungu,Mipira ya mkonon(catheter) ,gloves hizi labda vijijin sana ,ila siku hizi Vipo mara nyingi
Mahospitalin huwa hawabebi.usinunue,kama vitahitajika ndugu zako watatumwa kununua siku hiyo.(Ukienda Clinic waweza uliza kwa NURSE WAKO juu ya kununua hivi vitu)
8.karatas la Mkojo Beba,lile la Kutandika.
9.Dishi muhimu sana na ndoo ndogo.maana kuna nguo chafu,lakin pia ukitaka kojoa hatua za mwisho ni kwenye Vyombo ivo😃😃.
10. Chupi,tait,bra zako Beba.
11.Mswaki pia,dawa ya mswaki,vimafuta na namna utavyojiweka weka ukimaliza kazi😃😃,wengi wanasuka nywele simple kama Yebo kidoti,nywele yenye Fixed style.kama vitunguu unabana style kabisa,
12.bila kusahau BEGI la kuwekea hivyo VITU😉,Tafuta begi lenye uwezo kubeba Vyote,kuwa na mizigo mingi haitakiwi unaweza Poteza(wengine wanapenda mabegi mawili LAKE na la MTOTO TOFAUTI)
13. Mama HAKIKISHA UMEJISAFISHA,UMENYOA MAKWAPA,huko CHINI upo SAFI.
Na Lini vitu vianze kuandaliwa na lini viwe Tayar?
👇👇👇
inategemeana na Uwezo wa mtu "kiuchumi'.
Kama mtu ana uwezo,vitu hivi anavipata Vyote tu ndani ya masaa tu(ni kwenda dukan na kununua VYOTE),ila kama Hali ya uchumi sio Nzur sana,unapopata tu Mimba,Anza maandalizi.
Mfano nunua kanga zako doti 2 weka,ukipata hela nunua pamba,ukipata tena nunua kitu kingine...
Muhimu MIMBA inavyofika wiki ya 36 UWE NA BEGI lenye kila Kitu...ukisubiri siku na saa.
Cc:Uzazipoint #afyaclass
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
REPLY HAPA
image quote pre code