Afyaclass VISABABISHI VYA MIMBA KUHARIBIKA

 VISABABISHI VYA MIMBA KUHARIBIKA

a) Asilimia 50-70% ya mimba zote zinazoharibika zenyewe wakati wa miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito hutokana na matatizo ya kiasili au vina saba (genetics or chromosome abnormalities).

b) Magonjwa yanayotokana na kinga ya mwili (Collagen Vascular Disease)-Magonjwa haya hutokana na mwili wa binadamu kutengeneza chembechembe za antigen ambazo hushambulia viungo vyake venyewe.

c) Kukosekana kwa uwiano wa vichocheo (Hormonal imbalance).

d) Maambukizi ya magonjwa kama PID,n.k

e)Kuumia mfano kudondoka huweza kupelekea mimba kutoka

f)Matumizi ya dawa kiholela bila ushauri wa wataalam.

g) Uvutaji sigara na unywaji pombe.

h) Sababu za kimazingira kama madhara yatokanayo na sumu ya arsenic, madini ya risasi, dawa za kuua wadudu mashambani (pesticides), formaldehyde nk


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
My blog is in the process of editing and perfecting the new template, so there are still some functions to click but not yet used. Note which blogs associated with your side please read this lesson to update the blog logo.
UNDERSTOOD