MABADILIKO KIPINDI CHA UJAUZITO🌀✔⛔.
Mambo mengi sana hubadilika mwanamke akiwa mjamzito tofauti na hapo mwanzo kabla ya ujauzito.
.
Baadhi ya Mambo hayo ni kama ulaji wake, jinsi ya kulala, mabadiliko katika mfumo wa hewa, mabadiliko ya vichocheo mwilini ambavyo huweza kusababisha mambo mengi mfano;
.
Kusikia kichefuchefu na kutapika,kupatwa na kiungulia(heartburn), kupenda harufu ya vitu flani flani,kuchukia baadhi ya vitu,
.
Mwanamke kukosa period yake,mabadiliko katika mfumo wa ngozi, mabadiliko katika mfumo wa mkojo(kukojoa kojoa mara kwa mara),na hata mabadiliko katika mzunguko wake wa Damu.
@Cha msingi MWANAMKE anatakiwa kuyatambua mabadiliko hayo na kujua jinsi ya kupambana na changamoto ambazo anaweza kuzipata kipindi cha ujauzito
#linah #ujauzitonijambolakheri #mabadiliko
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
You, Mehreen and others



