Dkt. Delilah ateuliwa Mkurugenzi wa Muhimbili akichukua nafasi ya Prof Janabi

Dkt. Delilah ateuliwa Mkurugenzi wa Muhimbili akichukua nafasi ya Prof Janabi

#1

Dkt. Delilah ateuliwa Mkurugenzi wa Muhimbili akichukua nafasi ya Prof Janabi

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Delilah Charles Kimambo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili,

akichukua nafasi ya Prof.Mohamed Yakub Janabi aliyechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika.

REPLY HAPA

image quote pre code