Mshambuliaji wa Real Madrid Gonzalo Garcia ameshinda tuzo ya mfungaji bora

Mshambuliaji wa Real Madrid Gonzalo Garcia ameshinda tuzo ya mfungaji bora

#1

Mshambuliaji wa Real Madrid Gonzalo Garcia ameshinda tuzo ya mfungaji bora wa mashindano ya kombe la dunia la vilabu 2025.

Kinda huyo ameibuka mfungaji bora baada ya kufunga jumla ya mabao manne katika michuano hiyo mikubwa iliyotamatika siku ya leo kwa klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza kutawazwa kuwa mabingwa.




Related Discussions

REPLY HAPA


image quote pre code