Taifa Stars yapangwa Kundi L pamoja na vigogo wa soka barani Afrika Nigeria

Taifa Stars yapangwa Kundi L pamoja na vigogo wa soka barani Afrika Nigeria Baada ya droo ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON 2027) kufanyika rasmi, macho ya mashabiki wengi wa sok…

Trump Akosoa Bei Kubwa za Tiketi za Kombe la Dunia 2026

Trump Akosoa Bei Kubwa za Tiketi za Kombe la Dunia 2026 Rais wa Marekani Donald Trump amesema hata yeye binafsi hawezi kulipa bei kubwa zinazotozwa kwa tiketi za Kombe la Dunia 2026, hatua inay…

Mshambuliaji wa Real Madrid Gonzalo Garcia ameshinda tuzo ya mfungaji bora

Mshambuliaji wa Real Madrid Gonzalo Garcia ameshinda tuzo ya mfungaji bora wa mashindano ya kombe la dunia la vilabu 2025. Kinda huyo ameibuka mfungaji bora baada ya kufunga jumla ya mabao manne…

Cr7 Avunja Ukimya Kuhusu Kutohudhuria Mazishi Ya Diogo Jota

kumeibuka mjadala mkubwa kuhusu kutokuwepo kwa Cristiano Ronaldo kwenye mazishi ya Mchezaji mwenzake wa Timu ya Taifa ya Ureno, Diogo Jota, aliyefariki Dunia pamoja na kaka yake, André Silva, ka…

Wachezaji kandanda Diogo Jota na André Silva Wapewa heshima zao za mwisho

Wachezaji kandanda Diogo Jota na André Silva wamepewa heshima zao za mwisho na familia zao, marafiki na wachezaji wenzao kwenye mazishi ya pamoja nchini Ureno. Jota, 28, alizikwa pamoja na kaka …

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuandaa pambano la ngumi Whitehouse

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza mpango wa kuandaa pambano la UFC katika viwanja vya Ikulu ya White House kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 250 ya uhuru wa Marekani mwaka ujao. Akizung…

Ukimya wa Dakika 1 kwenye Mechi kumuenzi Diogo Jota

#MICHEZO: UEFA imeidhinisha ombi lililotolewa na FA ya Ureno kuhusu kuwepo na dakika 1 ya ukimya kwenye mechi ya timu ya Taifa ya Ureno dhidi ya Uhispania katika mchezo wa Euro 2025 kwa Wanawake…

Diogo Jota amefariki dunia kwa Ajali

MADRID, Hispania: MSHAMBULIAJI wa mabingwa wa Ligi Kuu England, Diogo Jota amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 28. Idara ya Ulinzi wa Kiraia ya Hispa…

Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga,Miloud Hamdi ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Ismaily SC ya Misri

Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga  ya Tanzania, Miloud Hamdi (54), raia wa Algeria, ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Ismaily SC ya Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja, ukiwa na kip…

Load More Posts That is All