Hivi Ukiambiwa Dawa hii kunywa Asubuh na jion maana yake,ni muda gani wa kutumia?

Swali kutoka kwa Mdau wa Afyaclass anasema anahitaji Ufafanuzi..

...See more

1 Comments

  1. Muda Sahihi wa kutumia Dawa ni kama ifuatavyo;

    1.Ukiambiwa Kutwa mara 3
    Ni kila baada ya Saa 8 unatumia dawa

    2.Kutwa mara 2 ni kila baada ya Saa 12 unatumia dawa

    3. Na kutwa mara 1 unatumia kila baada ya Saa 24.

    ReplyDelete

Post a Comment

Related Discussions...