Wachezaji kandanda Diogo Jota na André Silva Wapewa heshima zao za mwisho

Wachezaji kandanda Diogo Jota na André Silva wamepewa heshima zao za mwisho na familia zao, marafiki na wachezaji wenzao kwenye mazishi ya pamoja nchini Ureno. Jota, 28, alizikwa pamoja na kaka …

Ukimya wa Dakika 1 kwenye Mechi kumuenzi Diogo Jota

#MICHEZO: UEFA imeidhinisha ombi lililotolewa na FA ya Ureno kuhusu kuwepo na dakika 1 ya ukimya kwenye mechi ya timu ya Taifa ya Ureno dhidi ya Uhispania katika mchezo wa Euro 2025 kwa Wanawake…

Diogo Jota amefariki dunia kwa Ajali

MADRID, Hispania: MSHAMBULIAJI wa mabingwa wa Ligi Kuu England, Diogo Jota amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 28. Idara ya Ulinzi wa Kiraia ya Hispa…

Load More Posts That is All