Elon Musk afikia Utajiri wa dola za Marekani bilioni 600 sawa na Quadrilion 1.4
Mjasiriamali na bilionea wa teknolojia Elon Musk ameandika historia mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza duniani kufikia utajiri wa dola za Marekani bilioni 600 sawa na Quadrilion 1.4, kulingana na …