Vita ya Marekani na Iran Yatangazwa Kumalizika, Lakini Tahadhari Bado Ipo

Vita ya Marekani na Iran Yatangazwa Kumalizika, Lakini Tahadhari Bado Ipo Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza rasmi kuwa mzozo wa kijeshi kati ya taifa lake na Iran umefikia mwisho, akis…

Mfahamu Mtu anayeshukiwa Kufyatua Risasi kwenye hafla ya White House Marekani

Mfahamu Mshukiwa wa Tukio la Risasi Katika Hafla ya White House Marekani Mamlaka nchini Marekani zimemtambua mtu anayehusishwa na tukio la kufyatua risasi lililotokea wakati wa hafla ya Waandis…

Rais Donald Trump asema kama angejua Uzito na hatari ya Urais asingegombea

Trump Aeleza Uzito na Hatari ya Kazi ya Urais Baada ya Tukio la Usalama Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa angejua mapema uzito na hatari ya kazi ya urais, huenda asingegombea nafasi …

Rais wa Marekani Donald Trump amesema atachukua hatua za kisheria dhidi ya BBC kufuatia jinsi hotuba yake ilivyohaririwa

Rais wa Marekani Donald Trump amesema atachukua hatua za kisheria dhidi ya BBC kufuatia jinsi hotuba yake ilivyohaririwa na kipindi cha Panorama, baada ya shirika hilo kuomba msamaha lakini kuka…

Trump atia saini mswada wa ufadhili wa kufungua tena shughuli za serikali ya Marekani

Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini mswada wa ufadhili wa kufungua tena shughuli za serikali ya Marekani na kumaliza mkwamo ambao umeshuhudiwa kwa muda mrefu zaidi katika historia ya nchi…

Utawala wa Trump unapendekeza kuzuia wageni wenye Uzito mkubwa kuingia Marekani

Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa mwongozo unaopendekeza kwamba watu wanene kupita kiasi wanyimwe visa vya Uhamiaji ya kuingia Marekani. Agizo hilo, ambalo ni sehemu ya hatua kadhaa ziliz…

Donald Trump ametangaza kwamba kila Mmarekani atapokea angalau $2,000 kutoka kwenye mapato ya ushuru wa Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba kila Mmarekani atapokea angalau $2,000 kutoka kwenye mapato ya ushuru wa Marekani. Katika chapisho kwenye Truth Social, Trump alibainisha kuwa mal…

Donald Trump amemchimba mkwara meya mpya (Mteule) wa New York, Zohran Mamdani

Rais wa Marekani, Donald Trump amemchimba mkwara meya mpya (Mteule) wa New York, Zohran Mamdani kwamba anapaswa kuwa na heshima kwa Washington, kwa sababu asipofanya hivyo, hana nafasi ya kufani…

Rais Donald Trump amegunduliwa kuwa na tatizo la chronic venous insufficiency

Rais Donald Trump amegunduliwa kuwa na tatizo la chronic venous insufficiency  baada ya vipimo vya mishipa kufanywa ili kutathmini uvimbe kwenye miguu yake, Ikulu ya White House ilitangaza Alh…

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuandaa pambano la ngumi Whitehouse

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza mpango wa kuandaa pambano la UFC katika viwanja vya Ikulu ya White House kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 250 ya uhuru wa Marekani mwaka ujao. Akizung…

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema amepata wa kuinunua kampuni ya TikTok

NEWS : Kwenye Jukwaa la Teknolojia leo hii tuna habari kuhusu kampuni ya Tiktok. Rais wa Marekani, Donald Trump amesema amepata wa kuinunua kampuni ya TikTok. Kauli hiyo inakuja wakati ambapo k…

Load More Posts That is All