Rais wa Marekani, Donald Trump amesema amepata wa kuinunua kampuni ya TikTok

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema amepata wa kuinunua kampuni ya TikTok

#1

NEWS: Kwenye Jukwaa la Teknolojia leo hii tuna habari kuhusu kampuni ya Tiktok.



Rais wa Marekani, Donald Trump amesema amepata wa kuinunua kampuni ya TikTok.

Kauli hiyo inakuja wakati ambapo kampuni ya ByteDance ya China inakabiliwa na shinikizo la kuiuza TikTok kwa Marekani, vinginevyo itazuiwa kutumika nchini humo.

REPLY HAPA


image quote pre code