Utafiti,Mbegu za Kiume huweza kubeba alama za Msongo wa mawazo kutoka kwa Baba
Msongo wa mawazo hauathiri mtu mmoja pekee unaweza kuacha athari kwa kizazi kinachofuata kupitia njia za kibaiolojia, si kwa tabia tu. Utafiti wa mwaka 2016 uliochapishwa katika jarida la Nature…