YAI LA MWANAMKE NA MBEGU YA MWANAUME
Yai la mwanamke(ovum) linapotoka kwenye vifuko vyake(ovaries) ambapo kitendo hicho kitaalam huitwa "OVULATION" na kuingia kwenye mirija ya uzazi yaani Fallopian tubes,Ndipo huanza kuk…
Yai la mwanamke(ovum) linapotoka kwenye vifuko vyake(ovaries) ambapo kitendo hicho kitaalam huitwa "OVULATION" na kuingia kwenye mirija ya uzazi yaani Fallopian tubes,Ndipo huanza kuk…
Je, kuvuja damu mapema katika ujauzito ni nini? Kuvuja damu kabla ya wiki 28 za ujauzito hudhaniwa kuwa ni kuvuja damu mapema katika ujauzito. Ikitokea baada ya wiki 28, huitwa utokaji wa damu …
Mimba za Utotoni(Teenage Pregnancy). Kwa Tanzania tunaweza tukasema ukipata mimba chini ya Miaka 18 upo kwenye kundi hili la mimba za utotoni. . Point yangu ni kwamba,mimba za utotoni zina madh…
📸Msongo wa mawazo baada ya mama Kujifungua ambao huambatana na tabia za kutaka kujiua"Severe depression accompanied with suicidal behavior".🤔 . DALILI ZA MSONGO WA MAWAZO KWA MAMA B…
MATOKEO YA MUINGILIANO WA RHESUS FACTOR KWA UJAUZITO(KWA MAMA MWENYE BLOOD GROUP NEGATIVE NA BABA POSITIVE) HASA KATIKA UJAUZITO WA PILI 1) Mtoto alieo tumboni kupungukiwa damu (Fetal anemia) 2…
FANGASI WA MDOMONI NA MAENEO MENGINE FANGASI inaweza kushambulia maeneo mbali mbali ya mwili wako mfano; mdomoni,miguuni au sehem za siri. Kwa asilimia kubwa WANAWAKE wanateswa sana na FANGASI…
MAUMIVU MAKALI YA KICHWA . Kipandauso (Migrain) Aina hii ya maumivu ya kichwa ya awali ndiyo iliyoenea sana na watu wengi wanaosumbuliwa na maumivu ya kichwa ya mara kwa mara huwa na tatizo hil…
JE, WAJUA VYANZO VYA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, NA TUMBO LA CHINI KWA WANAWAKE? (@kwa ushauri,elimu,au msaada juu ya afya yako MWANAMKE +255758286584) Maumivu ya kiuno,nyonga,au tumbo chini ya k…
KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI. ➡️ (imeandikwa na Ombeni Mkumbwa) WANAWAKE wengi husumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu sehemu za siri, lakini hawajui sababu ni nini! na wala hawajui cha …
TABIA ZA UJAUZITO KATI YA MWANAMKE NA MWANAMKE. Kuna wengine baada ya kuwa na Ujauzito hutokea sana kuwapenda waume zao, kuwapenda baadhi ya watoto walio nao,au baadhi ya watu flani hata kama h…
KUTOKWA NA DAMU NYINGI SANA WAKATI WA HEDHI. Hali hii imekuwa ikitokea kwa wanawake wengi siku hizi.Mfano MWANAMKE aliyekuwa anabadilisha pedi mara tatu kwa siku sasa anabadilisha mara 8.n.k na…
KUZAA WATOTO WATATU KWA MARA MOJA(TRIPLETS). Watu wengi hawafaham kwamba ukizaa watoto watatu hawaitwi TWINS bali kitaalam huitwa TRIPLETS. Watoto hawa huzaliwa watatu,japo kwa asilimia kubwa w…
KUPATA BLID PASIPO KUTARAJIA. Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia hali hii kwa MWANAMKE... 1-Unaweza kupata blid pasipo kutarajia kutokana na Mzunguko wako wa hedhi kutoeleweka au k…
🔻KUWASHWA KWENYE NGOZI. Ugonjwa huu umekuwa ukiwasumbua watu wengi siku hizi,bila kujali umri au jinsia. ZIPO SABABU MBALI MBALI KITAALAM AMBAZO HUCHANGIA HALI HII IKIWEMO; -Swala la allergy …
MATOKEO YA MVURUGIKO WA VICHOCHEO VINGI MWILINI KWA MWANAMKE ➡️ Ombeni Mkumbwa Zipo dalili mbalimbali ambazo huonyesha vichocheo vingi katika mwili wa MWANAMKE havipo sawa,ikiwemo vile vichoche…
SABABU AMBAZO ZINAWEZA KUWA CHANZO CHA KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA. ✓ Dalili za mimba ✓ Magonjwa kama Malaria,UTI ✓Matumizi ya baadhi ya Dawa ✓Matumizi ya baadhi ya vyakula ✓ Allergy inayotokan…
MAMBO MUHIMU KWA MTOTO BAADA YA KUZALIWA MPAKA ATAKAPOFIKISHA UMRI WA MIAKA MITANO. ➡️ Ombeni Mkumbwa Katika hali ya kuhakikisha afya ya mtoto inaimarika kuna vitu vya muhim vya kuzingatia sana…
TATIZO LA KUWA NA UVIMBE KWENYE MASHAVU AU MIDOMO YA UKE Tezi za Bartholin huwa ki kawaida zinapatikana katika pande za mashavu/midomo ya uke. Huwa ni ndogo mno na hufanya kazi ya kutengeneza u…
FAIDA ZA MICHAICHAI MWILINI ➡️ Michaichai Ukitaka kuwafukuza Mbu wanaoleta ugonjwa wa Malaria nyumbani kwako panda Mmea wa Mchaichai au weka huo Mmea ndani ya nyumba yako kama pambo basi Mbu haw…
🔻TATIZO LA KUPATA CHOO KIGUMU PAMOJA NA UKOSEFU WA CHOO Watu wengi sana siku hizi hupatwa na tatizo hili la Choo Kigumu Pamoja na kukosa choo kabsa,hata kupelekea kupata Maumivu,michubuko na ku…
ATHARI ZA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI KWA KUTUMIA MDOMO WAKATI WA KUFANYA MAPENZI ➡️ Mdomo Kuna utaratibu ambao siku hizi umeshamiri sana wa Wanaume kuwanyonya wanawake sehemu za Siri(uke) wakati wa…
TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI Tatizo hili la Mwanaume kuota matiti(Gynecomastia) huhusisha kuongezeka kwa tishu ndani ya tezi za matiti ya Mwanaume, Na Uwiano usio sawa wa vichocheo (imbalanc…
➖ MAKOSA YANAYOFANYWA KATIKA KUCHAGUA AINA ZA PEDI PAMOJA NA MATUMIZI YAKE 1. Kutonawa mikono kabla na baada ya kutumia pedi. Mikono hushika sehemu mbalimbali hivyo kuna uwezekano ikawa na vime…
➡️ TATIZO LA KWIKWI( HICCUPS) Kwikwi takribani zote huwa ni za upande mmoja(one-sided). Hii ni kumaanisha kuwa ni upande mmoja tu wa diaphragm hujaa (diaphragm- ni misuli iliopo chini ya kifua a…
FAHAMU UGONJWA WA GOITA Goita (Goiter) ni hali ya kuvimba kwa tezi ya thyroid. Uvimbe huu hautokani na saratani (goita si saratani). Tezi ya thyroid ipo sehemu ya mbele ya shingo. Kazi kuu za te…
TYPHOID NI NINI? Ni ugonjwa wa homa ya matumbo unaosababishwa na bakteria ajulikanae kama, Salmonella typhi. Homa hii huhusisha homa inayopanda juu taratibu mpaka kufikia joto la 40⁰C HUAMBUKIZW…
Ufahamu ugonjwa wa Malaria Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama Plasmodium.Vimelea hivi huenezwa na mbu jike aina ya anofelesi (anopheles). Lakini watu wengi huelewa…
🔻MICHIRIZI YA NGOZI HUSABABISHWA NA NINI?(STRETCH MARKS) Michirizi ya ngozi(stretch marks/striae) mara nyingi hutokea tumboni, juu ya matiti, mapajani, kwenye makalio na kwenye hips. Michirizi …