DALILI ZA MSONGO WA MAWAZO KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA

DALILI ZA MSONGO WA MAWAZO KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA

#1

 ðŸ“¸Msongo wa mawazo baada ya mama Kujifungua ambao huambatana na tabia za kutaka kujiua"Severe depression accompanied with suicidal behavior".🤔

.

DALILI ZA MSONGO WA MAWAZO KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA.😘

Utajuaje kuwa mama yupo kwenye msongo wa mawazo,ili umsaidie kumpeleka kupata ushaur wa kutosha au Deep conseling.#####

.

1-Mama kupoteza mood na tumain "hopeless" kabsa la kuishi hapa huonyesha tabia kama kutaka kujiua au kumuua mtoto.

Ukiona hali hii mama anahitaji msaada wa haraka

2-Mama kulia sana pasipo sababu zinazoeleweka

3-Difficulty bonding with baby(Mama kuwa mbali na mtoto) 

4-Mama kuona aibu kwa watu na kujiona mkosaji kila mda na kwa kila anachokifanya

5-Mama kujiona kapoteza mvuto baada ya kujifungua na kila mda anaonekana kujihurumia

6-Mama kuwa na hofu kuu"severe anxiety"

@Zipo sababu ambazo zinachangia hali hii,see you next lesson

#msongowamawazo

#Severedepression

#ombenimkumbwa


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



Consultation ya Afya Moja kwa Moja

Mimi ni Dr. Ombeni Mkumbwa. Nakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu tatizo lolote la kiafya kwa siri, haraka na uhakika.

WhatsApp

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code