SABABU AMBAZO ZINAWEZA KUWA CHANZO CHA KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA.
✓ Dalili za mimba
✓ Magonjwa kama Malaria,UTI
✓Matumizi ya baadhi ya Dawa
✓Matumizi ya baadhi ya vyakula
✓ Allergy inayotokana na vyakula flani kama nyama n.k
✓ Matumiz ya baadhi ya Njia za Uzazi wa Mpango n.k
✓ Mabadiliko ya Gafla ya vichocheo vya mwili
✓ Harufu ya Baadhi ya Vitu kama pafume n.k
JE USHAWAHI KUPATWA NA HALI HII? COMMENT NDYO AU HAPANA KWENYE COMMENT HAPO 👇
KUMBUKA: KWA USHAURI,ELIMU AU MSAADA WA KIAFYA NAMBA NI 0758286584 ,TUMA MESEGI UTAJIBIWA KWA HARAKA ZAIDI.
Reply
image quote pre code