Afyaclass JE UNAYAFAHAMU MADHARA YA KUVUJA DAMU AU KUBLID MDA MREFU?

 JE UNAYAFAHAMU MADHARA YA KUVUJA DAMU AU KUBLID MDA MREFU?

 mfano kuna wanawake ambayo wanaweza kublid hata MWEZI mzima mfululizo.

.
Kupatwa na kizungu zungu cha mara kwa mara, kuona giza, na kupata pia maumivu ya kichwa

.
Moyo kwenda Mbiy o   ambapo huambatana pia na maumivu ya kichwa
.
Maumivu ya kwenye mifupa,kifua,na kwenye joint pia
.
Kuishiwa na Pumzi wakati wa kupumua na hata mda mwingine ngozi kuanza kubadilika rangi na kuwa na rangi kama ya manjano au  pale or yellow
.
Kupata hali ya ubaridi sana kwenye mikono pamoja na miguu
.
Uchovu wa kupita kiasi ambapo huambatana na hali ya kuwa na usingizi

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KUPITIA NAMBA +255758286584

Karibu Sana..!!!



You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
My blog is in the process of editing and perfecting the new template, so there are still some functions to click but not yet used. Note which blogs associated with your side please read this lesson to update the blog logo.
UNDERSTOOD