SABABU AMBAZO HUSABABISHA MWANAMKE KUTOLEWA KIZAZI
Post ya Nyuma wengi wameuliza sanaa why tulimtoa mwanamke wa watu Kizazi chake...
People were very curious.
Sasa kuna baadhi ya sababu zinazoweza kuwa chanzo cha mwanamke kutolewa Kizazi.
1.Inapotokea mwanamke Kajifungua either kwa Njia ya Kawaida au upasuaji,ila Anatoka sana Damu(huwa zinatoka nyingi sana) na kila juhudi ya kufanya damu zikate hazifanikiwi,wakati mwingine,kuna mazingira,kumtoa mama kizazi yaweza kuwa njia pekee ya kuokoa Uhai wa mwanamke
2.Mama anapokuwa Kachanika kizazi,uterus rapture na kinaweza chinika vibaya na juhudi za kushona mpaka damu ziache kutoka zikashindikana na tiba Pekee ilo mama asife ikawa ni kutoa tu kizazi.
3.Kansa ya shingo ya kizazi ambayo inakuwa haijasambaa sehemu nyingine zaid ya kwenye mlango wa uzazi,huwa mwanamke akiwah matibabu,mapema anatolewa kizazi ili kansa isizidi kusambaa
4.mwanamke anapokuwa na Mauvimbe makubwa sana kwenye kizazi ambayo sio rahis Kuyatoa,inaweza fanya mwanamke Huyu atolewe kizazi kabisa.
5.KUTOA KIZAZI kama njia ya uzazi wa mpango,yaan unatoa tu kwasababu hautaki Kuzaa,haishauri kabisa kwa wanawake walio chini ya miaka 45,
Haya una watoto wawili,ukasema wanatosha utoe kizazi,mara unafika miaka 35 Mungu anawachukua,unabaki unalia bila msaada kabisa.
Lakin pia utolewaji wa kizazi mfuko wa mayai,unafanya HOMON za mwanamke Zisiwepo Tena,hivyo mwanamke anaanza kupata dalili za uzee mapema(MENOPAUSE symptoms and signs) kama ngozi kuwa mbaya,uke kupoteza hali ya ujana😀😀 (banaa eee,kiswahili Kigumu kwenye udaktari),unakosa hamu ya sex,kifupi unapoteza mvuto kabisa wa ujana unaanza kuwa na dalili za uzee...
Cc:Uzazipoint #afyaclass
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
You, Mehreen and others



