KOMAMANGA
• • • • • •
Tafiti zinaonesha kwamba tunda hili huimarisha ubora wa mbegu (Sperm quality) , Huongeza hamu ya tendo (Sex drive) na pia huongeza kiwango cha hormone ya Testosterone ambayo ni homoni muhimu sana kwa afya ya uzazi wa Mwanaume .
.
.
Kuna moja ya tafiti ilionesha kwamba , Panya waliopewa juice ya Komamanga kila siku kwa miezi kama miwili hivi waliweza ongezeka ubora wa mbegu zao , ukianzia wingi wa mbegu , afya na hata uwezo wa mbegu kutembea
.
.
Mjulishe mwanaume mmoja tu kuhusu tunda hili
.
.
________________________
Tufollow kupata dondoo za Afya
Via@afya_solution
👏We care we Share
REPLY HAPA
image quote pre code