NGOZI • • • • • TATIZO LA NGOZI YA KWAPA NA SHINGONI KUWA NYEUSI ZAIDI ( Acanthosis nigricans) Tatizo la ngozi ya baadhi ya sehemu za mwili kuwa nyeusi zaidi ni tatizo ambalo kwa kitaalam hujulikana kama " Acanthosis nigricans" na tatizo hili huto…
MAKALA ZA HIVI PUNDEUUME • • • • • KANSA YA KWENYE UUME,CHANZO,DALILI NA TIBA YAKE Kansa ya Uume, ni ukuaji wa seli usio wa kawaida na usiodhibitika ndani ya uume ambapo kwa asilimia kubwa huanza kwenye seli za ngozi ya uume kisha kuingia ndani, Bila shaka aina hii ya kansa ya …
MAKALA ZA HIVI PUNDEAFYA YA UZAZI • • • • Sababu za Mimba Kutunga Nje ya Kizazi pamoja na Dalili zake(Ectopic pregnancy) Kwa asilimia kubwa Mimba kutunga Nje ya kizazi yaani kwa kitaalam Ectopic pregnancy hutokea wakati yai lililorutubishwa kukwama ndani ya mirija ya uzazi…
MAKALA ZA HIVI PUNDEDALILI 8 AMBAZO MTU HUWEZA KUZIPATA BAADA YA KIDONDA CHAKE KUSHAMBULIWA NA BACTERIA 1. Homa Baada ya upasuaji, ni kawaida kwa wagonjwa kuwa na homa kwa kiwango cha chini ya digrii 100 Fahrenheit. lakini, ikiwa joto la mwili lipo juu hadi 101 au zaidi, hiyo i…
MAKALA ZA HIVI PUNDETETANUS • • • • • • Dalili za Tetanus(pepopunda) baada ya mtu kuchomwa na kitu chenye Ncha kali Tetanus ni ugonjwa hatari sana ambao kwa kiswahili hujulikana kama Pepopunda,Ugonjwa huu huhusisha athari kwenye mfumo wa Fahamu inayosababishwa na sumu ya Bacte…
MAKALA ZA HIVI PUNDESTRESS • • • • • JINSI YA KUONDOA AU KUJIKINGA NA MSONGO WA MAWAZO 1. Kula na kunywa vyakula unavyovipenda sana ili kuboresha afya yako,japo viwe na virutubisho vyote katika kiwango kinachohitajika mwilini, na visiwe vyenye madhara mwilini kama vile vyakula …
MAKALA ZA HIVI PUNDEUZAZI • • • • • Sababu za upimaji wa ujauzito kwa kutumia ULTRASOUND Ultrasound inaweza kutumika kwa sababu mbali mbali wakati wa ujauzito. Daktari wako anaweza pia kuagiza uendelee kufanyiwa kipimo cha ultrasound zaidi ikiwa aligundua shida katika uchungu…
MAKALA ZA HIVI PUNDEKICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA • • • • • JINSI YA KUZUIA KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA pamoja na Chanzo Chake CHANZO; Sababu za kichefuchefu na kutapika. Vitu vingi vinaweza kuleta kichefuchefu na kutapika na baadhi yake ni kama vile; - Magonjwa kama vile homa ya mat…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMDOMO • • • • • CHANZO CHA KUTOA MATE MENGI MDOMONI WAKATI UMELALA Hadi kuchafua Shuka Na Jinsi ya Kuzuia Watu wengi hupatwa na tatizo hili la kutoa mate mengi mdomoni wakati wamelala hadi kuchafua shuka, bila kufahamu chanzo chake na Jinsi ya kuzuia shida hi…
MAKALA ZA HIVI PUNDEFANGASI WA NGOZI • • • • • MAKUNDI YA FANGASI AMBAO HUSHAMBULIA SANA NGOZI Haya hapa ni makundi ya Baadhi ya Fangasi ambao kwa kiasi kikubwa sana hushambulia eneo la Ngozi; •Soma:Chanzo cha Maumivu makali ya Tumbo Ngozi ya mwili mzima-Ringworm of the body (t…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMAUMIVU YA TUMBO • • • • • CHANZO CHA TATIZO LA MAUMIVU YA TUMBO Hizi hapa ni Baadhi ya Sababu ambazo zinaweza kuchangia maumivu ya Tumbo; - Ugonjwa wa haja kubwa maarufu kama Irritable bowel syndrome (IBS) - Ugonjwa wa kuvimba utumbo mpana maarufu kama Croh…
MAKALA ZA HIVI PUNDETIBA • • • • • MATIBABU YA UGONJWA WA RHEUMATOID ARTHRITIS Mpaka sasa hakuna tiba ya ugonjwa wa Rheumatoid Arthritis . Lakini tafiti za afya zinaonyesha kuna uwezekano mkubwa wa kudhibiti dalili za ugonjwa huu kama matibabu yataanza mapema kwa kutumia dawa…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMINYOO • • • • • DALILI ZA MINYOO JAMII YA ASCARIS Ascariasis ni maambukizi ya Minyoo jamii ya ascaris lumbricoides, ambapo watu wengi huipata kwa kugusana na udongo ambao una minyoo hii mfano kwa watu wanaopenda kutembea peku au kutoka kwenye Maji DALILI ZA…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMKOJO • • • • • MADHARA YA KUBANA MKOJO KWA MUDA MREFU MARA KWA MARA Tunafahamu kwamba kuna Mazingira Mtu hubanwa na Mkojo halafu ni vigumu sana kupata huduma ya kujisaidia haja ndogo, Japo sio kila Mara. Sasa endapo mtu anatabia ya Kubana Mkojo kila mara,…
MAKALA ZA HIVI PUNDEChanzo cha Tatizo la Choo Kigumu yaani Constipation na Kukosa choo kabsa Nini Husababisha Constipation/ Kukosa Choo Au Kupata Choo Kigumu? Umewahi kujiuliza kwanini unakosa choo kwa muda mrefu au kupata choo kigumu na kwa shida, huku ukipata maumivu makali wa…
MAKALA ZA HIVI PUNDEAFYA TIPS • • • • • HALI YA KUHISI KUWASHWA SEHEMU MBALI MBALI MWILINI BAADA YA KUOGA Hali ya kuhisi kuwashwa katika sehemu mbalimbali za mwili baada ya kuoga ni hali inayowapata wengi ila sio wote wanaofahamu chanzo chake. Kulingana na wataalam wa ngozi sab…
MAKALA ZA HIVI PUNDEROSEOLA • • • • • • UGONJWA WA ROSEOLA,Chanzo chake,Dalili na Tiba(Watoto) Ugonjwa wa Roseola ni ugonjwa ambao unashambulia sana Watoto wadogo wenye umri wa Miaka 2, Wanaoingia KINDERGARTEN na mara chache sana Watu Wazima DALILI ZA UGONJWA WA ROSEOLA NI PAM…
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin