VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI(HORMONE IMBALANCE)

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI(HORMONE IMBALANCE)

#1

HORMONE IMBALANCE

• • • • • •

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI(HORMONE IMBALANCE)

.

~ Uwepo wa sumu mwilini

~ Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha).

~ Umri ukienda sana Kukoma kwa hedhi

~ Uzito mkubwa

~ Mabadiliko ya mazingira

~ Msongo wa mawazo

~ Upungufu wa lishe mwilini .

~ Matumizi ya  njia za kisasa za uzazi wa mpango

~ Utoaji wa mimba

~ Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen).

~ Ongezeko la homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti kama mwanaume)Bara (Ethnicity)


 Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya (Estrogen,) ndiyo maana wana maumbile makubwa


#afyayako 

#uzazi




REPLY HAPA


image quote pre code