Afyaclass KITOVU CHA MTOTO HUDONDOKA BAADA YA MUDA GANI?

 KITOVU CHA MTOTO

• • • • •

KITOVU CHA MTOTO HUDONDOKA BAADA YA MUDA GANI?


Kitovu cha mtoto hutakiwa kudondoka chenyewe bila mtu kukilazimisha wala kuweka kitu chochote kwenye kitovu cha mtoto.


Kwa watoto wengi,kitovu cha mtoto hudondoka ndani ya wiki moja baada ya mtoto kuzaliwa.


MAMBO YAKUZINGATIA


- usiweke kitu chochote kwenye kitovu cha mtoto


- Hakikisha kitovu kilifungwa vizuri wala hakitoi damu au usaha baada ya mtoto kuzaliwa


- Kitovu cha mtoto hudondoka chenyewe bila kulazimishwa



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASIILIANE KWA NAMBA +255758286584.




You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Forum Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Forum ASANTE.
UNDERSTOOD