Afyaclass LEO NI SIKU YA MALARIA DUNIANI 25 APRIL 2021

 MALARIA

• • • • • • 

LEO NI SIKU YA MALARIA DUNIANI 25 APRIL 2021


Leo ni maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani 25 Aprili 2021.


Huku yakiongozwa na Kauli Mbiu ya;  Ziro malaria inaanza na mimi- nachukua hatua kuitokomeza.


JE UNAZIFAHAMU DALILI ZA UGONJWA WA MALARIA?


Dalili za ugonjwa wa Malaria ni pamoja na;


1. Maumivu makali ya kichwa mara kwa mara


2. Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa


3. Kupata kichefuchefu pamoja na kutapika mara kwa mara


4. Mgonjwa kuwa na kizunguzungu


5. Mwili kukosa nguvu kabsa


6. Kupata maumivu ya viungo mbali mbali pamoja na misuli ya mwili


7. Kumbuka malaria ikiwa kali sana huweza kusababisha kabsa hali ya mtu kuchanganyikiwa


KINGA NI BORA KULIKO TIBA, TUJIKINGE NA MALARIA


kwa ushauri zaidi,elimu au tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584.





You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
My blog is in the process of editing and perfecting the new template, so there are still some functions to click but not yet used. Note which blogs associated with your side please read this lesson to update the blog logo.
UNDERSTOOD