Afyaclass MADHARA YA KUOVERDOSE QUININE

 QUININE

• • • • •

MADHARA YA KUOVERDOSE QUININE


- Mtu kutapika sana


- Mtu kupatwa na maumivu makali ya tumbo


- Mtu kuharisha


- Kupata maumivu makali ya kichwa


- Kupatwa na kizunguzungu kikali


- Kuona marue rue na kutokuona vizuri


- Kusikia sauti zinaimba masikioni hali ambayo hujulikana kama Ear ringing


- Kuanza kupata rashes kwenye ngozi yako


- Masikio kutokusikia vizuri au masikio kuanza kupoteza uwezo wake wa kusikia


- Kupata hali kama ya kuchanganyikiwa


- Gafla joto la mwili kupanda na kuwa juu

n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





You, Mehreen and others

Notification
My blog is in the process of editing and perfecting the new template, so there are still some functions to click but not yet used. Note which blogs associated with your side please read this lesson to update the blog logo.
UNDERSTOOD