Mama aweka rekodi ya dunia kujifungua Mtoto mwenye kilo 6
Mama mmoja wa miaka 40 kutoka Florida ameandika historia baada ya kuzaa mtoto mkubwa zaidi kwenye hospitali ya Mt.. Joseph’s-South. Daniella Hines alijifungua mwanae, Annan, tarehe 3 Septemba, a…