Klabu ya Al-Ahli Tripoli imetuma rasmi ofa ya Shilingi bilioni 1.97 kwa ajili ya Feisal Salum Abdallah
Klabu ya Al-Ahli Tripoli kutoka nchini Libya imetuma rasmi ofa ya Dola za Kimarekani 800,000 (sawa na takriban Shilingi bilioni 1.97 za Tanzania) kwa ajili ya kuvunja mkataba wa kiungo nyota wa …