Daktari wa Upasuaji afariki baada ya kufanyiwa Upasuaji
Daktari maarufu wa Plastic Surgery mjini Beverly Hills, #RonaldMoy, amefariki dunia kutokana na matatizo yaliyojitokeza baada ya kufanyiwa Upasuaji wa Shingo, Amefariki Akiwa na umri wa miaka 68…