Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza yafanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye utumbo mpana
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini imefanya huduma ya ubingwa bobezi ya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye utumbo mpana kwa kutumia matundu madogo (lapascopic lower…