Wanne wafariki dunia baada ya mtumbwi kupinduliwa na kiboko
Watu wanne wamefariki dunia, wawili wakiwa ni wa familia moja na wengine saba kujeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria wakitokea shambani kupinduliwa na kiboko katika Mto Rufiji, Kijiji…