Vyakula vya mama aliyejifungua,je mwanamke baada ya kujifungua ale vyakula gani?
Vyakula vya mama aliyejifungua Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua? Kwa miezi 9, chakula ulichokula kilikusaidia wewe pamoja na mtoto wako. Lakini baada ya kuza…