Matokeo ya uchaguzi wa Liberia: George Weah na Joseph Boakai katika kinyang'anyiro kikali
Kiongozi wa upinzani nchini Liberia Joseph Boakai anaongoza kwa asilimia 50.58 dhidi ya Rais George Weah aliye na asilimia 49.42 katika matokeo ya duru ya pili ya uchaguzi wa rais. Asilimia tisi…