"Sabby, wewe ndiyo sababu ya kifo changu" - Mwanaume ajiua kwa madai ya mkewe kutokuwa mwaminifu
Mwanaume mmoja raia wa Zambia aliyetambulika kwa jina la Nathan Mithi, amejiua kwa madai ya kutokuwa mwaminifu kwa mkewe, Sabby Phiri. Mithi, anayesemekana kuwa mwanachama wa Ghetto Link, kundi …