Serikali ya Uingereza kuwapeleka wahamiaji haramu Rwanda ni kinyume na sheria
Mpango wa serikali ya Uingereza kuwapeleka wahamiaji haramu Rwanda ni kinyume na sheria, imesema mahakama ya Juu nchini Uingereza. Lord Reed ameamuru kwamba kulikuwa na sababu kubwa za kuamini k…