Mafuriko yaathiri kaya 29,510 watu 125,668, Morogoro kaya 12,824 watu 51,491 na Mbeya kaya 27, 000 watu 96,000.
SERIKALI imesema wananchi 273,159 hawana makazi kutokana na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Kadhalika, viongozi wa dini wataondoka leo na treni ya kisasa (SGR) kutoka…