Hali ya matumizi ya vyoo bora katika mikoa yote Tanzania bara
Mikoa inayoongoza kwa kuwa na vyoo bora ni Dar es Salaam (98.5), Ruvuma (92.1) na Njombe (87.6) na mikoa yenye idadi ndogo ya vyoo bora ni Tabora (40.5%), Katavi (52.5%) na Manyara (53.9%). Miko…