Abby mmoja wa Mapacha walioungana afunga ndoa,picha zao Zasambaa Mtandaoni
Mapacha walioungana Abby na Brittany Hensel wavunja ukimya baada ya picha za harusi ya Abby kusambaa mitandaoni. Abby na Brittany Hensel wamevunja ukimya baada ya Picha za mapacha hao walioungan…