Stephane Aziz KI anatarajia kuondoka Wydad baada ya kocha Mohamed Benhachem kutoridhishwa na uwezo wake Wydad inapaswa kupunguza wachezaji 3 kati ya wachezaji wao 8 wa kigeni (Mwalimu, Ferreira, Meijers, Malsa, Obeng, Aziz Ki, Pedrinho & Arthur).
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin