MOI kuwapokea wagonjwa wote wa NHIF hata jumamosi na jumapili
MOI kuwapokea wagonjwa wote wa NHIF hata jumamosi na jumapili. Na Abdallah Nassoro-MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesema imejiandaa vema kuwapokea wagonjwa wote wakiwem…