Gharama ya Kipimo cha DNA Tanzania,gharama mpya ya DNA
Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali haina lengo la kupata faida kwa shughuli zake, bali inatoa huduma kwa wananchi kwa gharama nafuu, amesema Dkt. Fidelice Mafumiko, Mkemia Mkuu wa Serikali. Akiz…