Head

TMA yatoa tahadhari ya hali Mbaya ya Hewa kwa siku 5

TMA yatoa tahadhari ya hali Mbaya ya Hewa kwa siku 5 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano zijazo, kuanzia leo Jumatatu, Oktoba 27, 2025. Ai…

Tsunami yaipiga Urusi pamoja na Japan

Madhara na uhamishwaji wa watu umeripotiwa kwenye mikoa ya Urusi iliyo karibu na kitovu cha tetemeko hilo katika Rasi ya Kamchatka. Tetemeko hilo ni kubwa kabisa kuwahi kulipiga eneo hilo tangu …

Ripoti Mpya;Ongezeko la Joto Duniani lisilolakawaida

Kulingana na ripoti mpya iliyotolewa na Huduma ya Mabadiliko ya Tabia nchi ya Muungano wa Ulaya ya Copernicus, wastani wa hali joto duniani umekuwa juu ya nyuzi joto 1.5 za Selsiasi kwa miezi 1…

TMA yataja chanzo cha mvua zinazonyesha kwa Sasa,baadhi ya maeneo

TMA yataja chanzo cha mvua zinazonyesha kwa Sasa,baadhi ya maeneo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, mvua zinazoendelea kunyesha tangu jana katika baadhi ya mikoa nchini zimetokana …

Mahujaji 14 wa Hajj kufariki dunia kisa joto kali

Mahujaji 14 wa Hajj kufariki dunia kisa joto kali Takriban raia 14 wa Jordan wamefariki dunia wakati wa ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia kutokana na joto kali, maafisa wamesema. Wizara ya mamb…

Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia India kwa siku tatu zilizopita kutokana na hali ya joto kali

Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia India kwa siku tatu zilizopita kutokana na hali ya joto kali Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia nchini India katika muda wa siku tatu zilizopita huku hali ya jot…

El Niño yapelekea ongezeko la viwango vya njaa na utapiamlo Malawi

El Niño yapelekea ongezeko la viwango vya njaa na utapiamlo Malawi #PICHA:Majaribio ya upandaji maharagwe yanayostahimili ukame nchini Malawi. (Maktaba) Takriban watu milioni tisa nchini Malawi …

Idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko KENYA imeongezeka hadi kufikia watu 228

#PICHA:Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya wakiwa katika harakati za uokoaji kufuatia mafuriko. MAMLAKA nchini Kenya zimesema kuwa idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko…

Load More Posts That is All