Hali ya msanii wa Bongo Muvi, Carina Hussein, imezidi kuwa mbaya tena,afanyiwa upasuaji mara 21
Hali ya msanii wa Bongo Muvi, Carina Hussein, imezidi kuwa mbaya tena, baada ya kufanyiwa upasuaji wa mara ya 21 kutokana na mshono mkubwa wa tumboni kwake kufumuka tena na kinyesi kuanza kutoka…