Mtanzania achaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano makubwa ya Future Face 2023 nchini Nigeria
MWANAMITINDO Jasinta David Makwabe(25) mwenye urefu wa 5’11 Ft amechaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano makubwa ya Future Face 2023 yanayotarajia kufanyika Novemba 25 mwaka huu nchin…