Afrika hujumuisha asilimia 95 ya wagonjwa wa malaria duniani;WHO
Nchi zinazokabiliwa Zaidi na Vifo na milipuko ya ugonjwa wa Malaria kama vile Uganda, zimefaulu angalau kwa kiwango fulani. Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya kupambana na ugonjwa wa Malaria …