WATOTO 50 wenye tatizo la Vichwa vikubwa na Mgongo wazi watafanyiwa upasuaji bure
DAR ES SALAAM; WATOTO 50 wenye tatizo la Vichwa vikubwa na Mgongo wazi watafanyiwa upasuaji bure katika kambi maalum itakayofanyika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI). Kambi maa…