Malaria kutokomezwa 2030, Fedha zachangwa na Wadau wa Afya
BILIONI 37.7 KUSAIDIA KUTOKOMEZA MALARIA 2030 Na. WAF – Dodoma Mchango kutoka kwa wadau wa mfuko wa Afya wa pamoja ikiwemo nchi ya Uswisi, Denmark, Ireland, Korea Kusini, UNFPA, UNICEF, pamoja n…