MAMBO YAKUFANYA KWANZA PALE UNAPOTARAJIA KUBEBA MIMBA
Watu wengi Hujikuta TU,MIMBA IMO bila hata kuiplan,sawa INATOKEA,ila sio Jambo Jema Sana.
Kwa afya Njema ya mtoto a pregnancy has to be Planned.
Amua kabisa kusema sasa Nataka KUPATA MIMBA.
Na unavyokuwa umeamua sasa Kupata MIMBA,kabla Haujaipata FANYA MAMBO HAYA HAPA CHINI.
(Kwa wanaotafuta MIMBA, nyie MNatakiwa kila siku Mnayafuata na Kuyaishi Haya)
1.Lifestyle Change,kubadili mfumo wa maisha kama uliokuwa nao haukuwa Healthy ni Muhimu sana.
Hapa Naongelea Kuacha POMBE,kuacha SIGARA(mwanamke na mwanaume WOTE INAWAHUSU HII),Kula BLANCED diet,yaan MLO kamili wenye makundi yote ya vyakula(wanga,protin,mafuta,maji,matunda na mboga mboga,na vyakula vya kamba).
2.WEIGHT CONTROL.
Mimba zinakuwa na complication san kwa wanawake wanene sana,unakuta mwanamke anakilo 95 hapo hana MIMBA,akipata mimba zinafika mpaka 120 huko,mwanamke mwenye Kilo nying yupo hatarin kupata PRESHA kupanda,kifafa cha mimba,na KISUKARI wakat wa mimba.mwanamke kabla hujapata mimba fanya mazoez,fanya diet kilo ziwe Walau sio kubwa Sana.
3.epuka mikemikali mbali mbali.
Ma rangi ya nywele,mi lipstick isiyo na ubora,kupaka rangi hizi za nyumba...unajinexpose na machemikali yanaweza mpa shida mtoto hata utengenezwaji wake.
4.kama UNA UGONJWA,tibu kabla haujapata MIMBA,mfano una magonjwa ya ngono vema ukatibiwa kabisa ili usijepata changamoto za mimba kutoka,au magonjwa yakaingiliana na utengenezaji wa mtoto
5.mwanamke Hakikisha UMEANZA KUNYWA MADINI YA FOLIC ACID,4OOmcg kila SIKU mpaka utakapopata MIMBA na mpaka mimba itakapokuwa na miezi mitatu {unatakiwa mama uanze kunywa hii dawa MIEZI MITATU Kabla hujapata MIMBA,na mpaka hiyo mimba Inapofika MIEZI MITATU).
6.lakin PIA unatakiwa uende hospitali umuone daktari hasa wale wenye mimba zinazosumbua,au zinatoka(wenye historia mbaya ya uzazi,mfano unakuta kipindi cha mimba unapataga kifafa),ukimuona mtaalamu atakushaur yakufanya ili mimba utakayopata IWE SALAMA.
Kwa kufanya HIVYO utapata MIMBA,lakin pia Mimba ya mtot MWENYE AFYA SANA.
Cc:Uzazipoint #afyaclass
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
You, Mehreen and others



