Afyaclass Bongo Social Yanga Klabu namba nne kwa ubora Afrika na Simba SC namba 12

Shirikisho la Kimataifa la Historia ya mpira wa miguu na takwimu Duniani (IFFHS) limeitangaza Yanga kuwa ni Klabu namba nne kwa ubora Afrika na Simba SC namba 12.

Takwimu hizi ni kwa kipindi cha kati ya September 01, 2022 hadi Augst 31, 2023, huku vilabu namba moja ni Al Ahly ya Misri na Wydad Casablanca ya Morocco.

You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD