Afyaclass Bongo Social Taarifa kuhusu Video inayosambaa mtandaoni kuhusu watumishi kumwagia dripu mwenzao siku yake ya kuzaliwa

Taarifa kwa Umma kutoka Hospitali Binafsi ya Sakamu Geita.

Uongozi wa Hoapitali ya Samaku umekiri kuwa watumishi walio kwenye video inayosambaa mtandaoni ikiwaonyesha wakisheherekea siku ya kuzaliwa kwa mtumishi mwenzao kwa kumwagia dripu kuwa ni wa Hospitali Binafsi ya Sakamu iliyopo Geita.

Wizara inaupongeza Uongozi wa Hospitali hii kwa kuchukua hatua za haraka za uwajibishaji. Wizara inaendelea kuwakumbusha watumishi wa Afya kuzingatia maadili ya taaluma zao na kutoa huduma bora za afya kwa wananchi.

You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD