Head

✍️Author: Dr. Ombeni
🛡️Review: AfyaClass

Nane(8) wafa kwa kula Samaki aina ya Kasa Pemba.

Watu nane kutoka Familia sita tofauti wamefariki dunia na wengine 34 wanapatiwa matibabu Hospitali Kisiwa Panza, Mkoa wa kusini Pemba Visiwani Zanzibar baada ya kula samaki aina ya kasa jana.

Watu hao baada ya kula kasa walianza kuumwa tumbo, kulegea mwili, kutapika na kuharisha .

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mattar Zahor amesema sampuli za vikohozi na damu zimepelekwa kwa Mkemia Mkuu ili kutambua kilichosababisha vifo hivyo.

#Reply

#5Replies
🔥 CHAT NASI
Dr. Ombeni Dr. Ombeni
Je, una changamoto yoyote ya Kiafya? Kwa Ushauri & Tiba tuwasiliane. Call (Kawaida) au SMS (WhatsApp): +255 758 286 584