Hatua za kuchukua mwiba wa samaki unapokwama kooni
Zipo njia mbali mbali ambazo wataalam wa afya hushauri ukiwa kwenye hali hii;
'Ikiwa mfupa wa samaki utakwama kwenye koo,
Bonyeza kwa nguvu tumbo. Hii itasaidia mfupa kutoka pamoja na hewa.
Pia Inasaidia kunywa soda mara kwa mara. Gesi iliyo kwenye soda huweka shinikizo kwenye koo, ambayo husababisha mwiba kutoka.
Ikiwa tiba hizi za nyumbani hazisaidii, unapaswa kushauriana na daktari mara moja.
Onyo:
Ingawa ni nadra sana kutokea,lakini tafiti zinaonyesha mfupa wa samaki pia unaweza kusababisha maambukizi. mfano;maambukizi ya ngozi(osteomyelitis),maambukizi ya mifupa au septicemia (maambukizi ya damu) .
Lakini haya hutokea tu katika matukio machache Sana.
REPLY HAPA
image quote pre code